Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi akishikana mkono na Balozi wa Misri nchini Hossam Moharam wakati wa hafya fupi ya

 kupokea vifaa vitakavyotumika katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali kuu ya Polisi kilwa Road.( kulia) ni Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Abdulrahaman Kaniki.