Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas akimuonyesha Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa ofisi ya Msajili wa Magazeti wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas, akimkabidhi Jarida la Nchi yetu, Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidiziwa Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Idara hiyo kwa lengo la kujitambulisha.