Naibu Inspekta Jenerali wa polisi, Abdulrahmani Kaniki, akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa kamati tendaji za shirikisho la wakuu wa Polisi kwa nchi za kusini mwa  Afrika, (SARPCCO)  ikiwa ni maandalizi ya mkutano mkuu wa mwaka wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika  jumatano tarehe 24/05/2017 mkoani arusha.

Baadhi ya wajumbe wa kamati tendaji za shirikisho la wakuu wa Polisi kwa nchi za kusini mwa afrika, (SARPCCO) wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kamati hizo ikiwa ni maandalizi ya mkutano mkuu wa mwaka wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika  jumatano tarehe 24/05/2017 mkoani arusha.