Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Magufuli akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Mapango wa kuboresha usalama wa Jamii kwa mkoa wa kipolisi Kinondoni, utakao anza kutekelezwa mwezi Julai, mwaka huu.

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Mpango wa kuboresha usalama wa Jamii.

 

Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dkt John Magufuli akimsikiliza kamishina wa fedha na logististiki Albert Nyamuhanga wakati uzinduzi wa Mpango wa kuboresha usalama wa jamii.

Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dkt John Magufuli akikata utepe kuzindua kituo cha polisi kinachohamishika kitakachotumika katika mpango mpya wa maboresho.

Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dkt John Magufuli akikata utepe kuzindua kituo kupokea simu za dharura ( call centre)  kitakachotumika katika mpango mpya wa maboresho kwa kupiga namba 111/112 kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu.

Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dkt John Magufuli akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu wakati wa uzinduzi wa mpango wa kuboresha usalama wa jamii  jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli akiwa ndani ya kituo cha Call center akiangalia namna wanapokea simu kutoka kwa wananchi.

w

Kikosi cha bendi ya Polisi kikitubwiza wakati wa mbele ya jukwaa kuu wakati wa uzinduzi wa mpango wa usalama wa jamii.