CONSULTANT OPPORTUNITY

Tanzania Police force in collaboration with UN WOMEN would like to develop the Gender Five Years Action Plan to be used by Police Gender and Children’s Desk to impliment the Police responsibilities provided in National Plan of Action to end Violence Against  Women and Children in Tanzania 2017/18  –  2021/22 and Gender Based Violence looking for:

 

  1. NATIONAL CONSULTANT
  • OBJECTIVE OF ASSIGNMENT

To develop the Police Gender and Children’s Desk five years Action Plan.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa polisi kutoka nchi mbalimbali wanaosoma chuo cha ulinzi wa taifa cha Rwanda.

 

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akipokea maoni ya wananchi wa Kijiji cha Jaribu Mpakani wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi wilayani humo. IGP Sirro ambaye aliambatana na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) walizungumza na wazee, viongozi wa dini na watu maarufu kutoka Wilaya Rufiji na Kibiti kuweka mikakati ya kuimarisha zaidi ulinzi na usalama wa raia na mali zao.

 

Naibu Inspekta Jenerali wa polisi, Abdulrahmani Kaniki, akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa kamati tendaji za shirikisho la wakuu wa Polisi kwa nchi za kusini mwa  Afrika, (SARPCCO)  ikiwa ni maandalizi ya mkutano mkuu wa mwaka wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika  jumatano tarehe 24/05/2017 mkoani arusha.

Makamu wa Rais mhe Samia Suluhu Hassan akizungumza na askari Polisi wanawake mara baada ya kufungua  mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake  kutoka nchi wanachama  wa SARPCCO katika ukumbi wa mikutano wa mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es salaam.

Jeshi la Polisi nchini linapenda kutoa ufafanuzi kuwa, Fomu ya Polisi namba 3 ijulikanayo kama PF.3 hutolewa  kwa mtu baada ya Polisi kupata taarifa kutoka kwa mlalamikaji au muathirika kwa matukio yenye madhara mwilini, ajali au  matukio yenye kuleta mashaka kuhusu vyanzo vyake kama vile kipigo,
kujeruhi, ubakaji, kulawiti, kunywa sumu na mengineyo.
 
Ieleweke wazi kwamba matumizi ya PF3 ni ya lazima na yanaendelea kama kawaida  kwa mujibu wa sheria, fomu hiyo inapaswa kutumika kwa kila tukio la aina tajwa hapo juu ili muathirika aweze kupata matibabu katika vituo vya Afya na hatua za kiupelelezi kwa Jeshi la Polisi ziweze kuendelea. 
Katika mazingira mengine hali ya muathirika inaweza kuwa mbaya,hivyo, huduma za kuokoa maisha (huduma ya kwanza) zinaweza kuendelea kutolewa wakati watoa  huduma ya afya wakiijulisha Polisi  ili kuharakisha upatikanaji wa PF 3.

Imetolewa na:-
Advera Bulimba-ACP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.
Makao Makuu ya Polisi.

Introduction
The Hanns Seidel Foundation (HSF) undertook an assessment of the performance of the TPF during the general elections of 25 October 2015.
The overarching objective of the assessment was to observe whether the TPF acted in accordance with democratic policing and human rights principles without bias in favour of any contesting party before and during the election period.
The specific objectives of the assessment were to: