Thursday, February 23, 2012

UTARATIBU WA KUFUNGUA SHULE ZA MAFUNZO YA UDEREVA:

Shule za udereva zinasimamiwa na sheria  inayoitwa “THE DRIVING SCHOOL ACT CHAPTER 163 OF LAW OF 1965 R.E 2002”.

Sheria hii inaelezea wazi kwamba Mkuu wa Jeshi la Polisi (I.J.P) ndiye mwenye mamlaka ya kusajili shule zote za udereva Tanzania. Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani amekasimiwa madaraka hayo na I.J.P, hii ni pamoja na kubuni mikakati ya uboreshaji wa shule hizo za udereva ili kukidhi utoaji wa taaluma bora.

 

 

Nenda kwa Usalama 2011

 

Baadhi ya viongozi wakipata mafunzo ya alama za Barabarani kwenye barabara iliyotengenezwa

 

Wanafunzi wakipata elimu ya usalama barabarani

kwa kuoneshwa alama zilizo barabarani

Who is Online

We have 30 guests online