Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt Jakaya Kikwete akimpongeza IJP mstaafu Omari Mahita baada ya kumvisha Nishani ya kumbukumbu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.