Saturday, May 19, 2012

Mgeni rasmi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Said Mwema akikata utepe kuzindua huduma ya X-ray katika Hospitali kuu ya Polisi iliyopo barabara ya kilwa, kurasini jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Said Mwema akikagua machine ya miozi (x-ray) mara baada ya kuzindua huduma hiyo katika hospitali kuu ya Polisi barabara ya kilwa kurasini jijini Dare s salaam.

Kikundi cha sanaa cha Jeshi la Polisi kikitumbuiza kusherehesha hafla ya uzinduzi wa huduma ya x-ray katika hospitali kuu ya Polisi barabara ya kilwa kurasini jijini Dar es salaam

Tanzania Police Force Contacts

Name Position Phone
TANZANIA POLICE HEADQUARTER +255 22 5667 789
RPC ARUSHA +255 715009912
RPC DODODMA +255 715009914
RPC KIGOMA +255 715009915
RPC KAGERA +255 715009916
KASKAZINI PEMBA +255 715009917
KASKAZINI UNGUJA +255 715009918
RPC IRINGA +255 715009921
RPC KILIMANJARO +255 715009923
KUSINI PEMBA +255 715009924
KUSINI UNGUJA +255 715009925
RPC LINDI +255 715009927
RPC MANYARA +255 715009929
RPC MARA +255 715009930
RPC MBEYA +255 715009931
MJINI MAGHARIBI +255 715009939
RPC MOROGORO +255 715009946
RPC MTWARA +255 715009948
RPC MWANZA +255 715 009949
RPC PWANI +255 715009953
RPC RUKWA +255 715009954
RPC RUVUMA +255 715009956
RPC SHINYANGA +255 715009957
RPC SINGIDA +255 715009959
RPC TABORA +255 715009961
RPC TANGA +255 715009963
RPC TARIME RORYA +255 715009964
RPC KINONDONI +255 715009976
RPC TEMEKE +255 715009979
RPC ILALA +255 715009980
KAMANDA KANDA MAALUMU DSM +255 715009983