Saturday, May 19, 2012

Mgeni rasmi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Said Mwema akikata utepe kuzindua huduma ya X-ray katika Hospitali kuu ya Polisi iliyopo barabara ya kilwa, kurasini jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Said Mwema akikagua machine ya miozi (x-ray) mara baada ya kuzindua huduma hiyo katika hospitali kuu ya Polisi barabara ya kilwa kurasini jijini Dare s salaam.

Kikundi cha sanaa cha Jeshi la Polisi kikitumbuiza kusherehesha hafla ya uzinduzi wa huduma ya x-ray katika hospitali kuu ya Polisi barabara ya kilwa kurasini jijini Dar es salaam

Ajali za Pikipiki Jan-Sept 2011
         
         
  TAKWIMU ZA PIKIPIKI JAN - SEPTEMBER 2011
         
MKOA                         PIKIPIKI      
  IDADI AJALI VIFO MAJERUHI
ARUSHA 502 502 39 363
DODOMA 29 21 11 16
ILALA 472 475 22 435
IRINGA 24 21 22 12
KAGERA 53 39 23 37
KIGOMA 124 95 15 90
KILIMANJARO 362 279 38 184
KINONDONI 785 538 28 338
LINDI 48 46 6 52
MANYARA 65 52 15 61
MARA 94 56 24 62
MBEYA 119 71 31 70
MOROGORO 412 314 59 288
MTWARA 275 206 29 187
MWANZA 166 129 40 107
PWANI 290 216 32 232
RUKWA 69 69 12 64
RUVUMA 261 208 34 198
SHINYANGA 215 170 29 181
SINGIDA 86 71 18 62
TABORA 260 213 20 191
TANGA 25 19 15 13
TEMEKE 534 405 52 334
JUMLA 5270 4215 614 3577